Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na Ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama mamalia, reptilia, amfibia, samaki na ndege.
Wanajulikana kwa:
Kuwa na vichwa
Kuwa na milango ya fahamu na Ubongo
Kuwa na uti wa Mgongo
Kuwa na mfumo wa Mifupa
Kuwa na Mzunguko wa damu
Kuwa na jinsi"
Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na Ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama mamalia, reptilia, amfibia, samaki na nde...