Idara ya usalama wa Taifa ni chombo cha mauaji? Ilihusika vipi na vifo vya marehemu Horace Kolimba, Profesa Kighoma Ali Malima na Mzee Mahimbo? Kwa nini imeshindwa kuwadhibiti mafisadi, wauzaji wa madawa ya kulevya, wahujumu uchumi na wahalifu wengine nchini? Kwa nini wananchi wamekosa imani na idara hii? Je chombo hiki bado kinahitajika katika Tanzania ya leo? Mwandishi Godwin Chilewa anajibu maswali hayo pamoja na mengine mengi.
Idara ya usalama wa Taifa ni chombo cha mauaji? Ilihusika vipi na vifo vya marehemu Horace Kolimba, Profesa Kighoma Ali Malima na Mzee Mahimbo? Kwa ni...