ISBN-13: 9780997281668 / Swahili / Miękka / 2017 / 180 str.
Ufafanuzi mwepesi kuhusu ulezi ni mshauri anayeaminika, na mwalimu kulingana na tafsiri ya oxford. Etimologia wengi wana elezea chanjo cha mlezi, Tabia kwa Horners Odyssey. Aliyekuwa rafika wakutumainiwa wa Odysseus. Neno mlezi, katika karneya sasa, kwanza ilitazamwa katika mapema karne17. Imekipana na marekebisho makubwa miaka kumi iliyopita au saidi na sasa ni kuna lugha na tamko tofauti sinazo Nnenwa ulimwenguni. Hakuna jambo lililo mpya kuhusiana na malezi. Walezi, walilea na watu wakipokea malezi yalianza wakati wa kwanza watu walipoanza kutembea ulimwenguni. Tabia ya walezi, na njinsi wale walio wanafunzi jinsi wanavyopokea malezi, na mbinu inayochukuliwa na kuelekezwa na walezi wote uchangia ufanisi au kushindwa kuhusiana na mwondoko wa ulezi au mwenendo. Watu wengi ni egezo la kijumla kuhusiana na (ulezi) ambayo watu wengine wanamimina maishani kwa sababu yakile watu walipanda maishani mwako na kudhania kuwa utafanyika. Tuna majukumu kupeana katika hali ya kuongeza ndani ya maisha ya wengine na kuwasaidia wawe watu Mungu alikusaidia wawe. Mwandishi huyu alipeana halihii ya kulea kwa kuwaelekeza wengine na kusababisha mbinu inayofaa kuleta na kufanyika walezi wanao fanikiwa. Kitabu kinachukua mwelekeo ambao mtu yeyote yule anaweza kuelewa na kufahamu hatua kwa hatua katika barabara ya ulezi. Malezi yanaitaji muda wa kuegeza, Talanta, na hasina, lakini matokeo ni pora sana kuliko kuegeza. Malezi ya wakati wote upokee hasa kama sio mengi kuhusiana ulezi kwa wengine hasa wale wanaopokea ulezi. Soma kitabu hiki ukiwa katika hali ya maombi, tamanio la kuegeza katika maisha ya wengine, na kuwa tayari kujifunza, utaweza kushangaa kuhusiana na kile Mungu atafanya na pamoja kukupitia wewe na uguzo wa ajabu utakao wekeza katika maisha yaw engine.