ISBN-13: 9781535143240 / Swahili / Miękka / 2016 / 112 str.
Jahili ni riwaya pendwa ya Kiswahili inayoelezea maisha halisi ya Kiafrika ikibeba dhamira za mapenzi, usaliti, Mtindo wa maisha, ukatili pamoja na mambo mengine mengi yatakayokusisimua na kukufunza mambo lukuki. Endapo unahitaji simulizi bora itakayokonga moyo wako, Jahili ndiyo jibu sahihi. Ungana na mtunzi mahiri ili upate uhondo kamili katika riwaya hii. KARIBU.
Zawartość książki może nie spełniać oczekiwań – reklamacje nie obejmują treści, która mogła nie być redakcyjnie ani merytorycznie opracowana.